Uchambuzi wa wadau wa mradi
Posted by Unknown ~ on
Jumamosi, 14 Desemba 2013 ~
Uchambuzi wa wadau wa mradi Kuwatambua wadau waliopo katika eneo la ki
wilaya karibu na mradi huu Tafiti kujua matakwa yao na umuhimu wao
katika mradi wako na jamii Weka mikakati ya kuwahusisha na mradi wako
Chora jedwali la kujipima kati ya mradi wako na wadau wengine Aina ya
ushirikiano Taarifu Ushauri Mwenza Dhibiti Utambuzi
Related Posts
Hakuna maoni: