Arrow

Also in Category...

Mkurugenzi wa Kampuni ya Global Publishers Ltd na Mwalimu wa Ujasiriamali nchini, Eric James Shigongo akiwasalimia wakazi wa Mwanza leo.
Eric Shigongo akimkaribisha mkufunzi wa masuala ya ujasiriamali, James Mwang'amba aongee na wakazi wa Mwanza leo.
James Mwang'amba akitoa elimu ya ujasiriamali kwa wananchi wa Mwanza.
Masanja Mkandamizaji akiwavunja mbavu wakazi wa Mwanza kwa historia ya kusisimua ya maisha yake.
Wananchi wakifurahia somo kutoka kwa Masanja.
Masanja akifanya yake mbele ya wakazi wa Mwanza leo.
Wananchi wakijipatia vitabu vya Mtunzi Eric Shigongo.
Umati wa watu uliohudhuria Tamasha kubwa la Ujasiriamali linalofikia kikomo leo ndani ya Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.
Wasanii chipukizi wa kizazi kipya wakitoa burudani katika tamasha hilo.
Watu wakizidi kumiminika ndani ya Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kwa ajili ya tamasha hilo.
Wakazi wa jiji la Mwanza wamezidi kujipatia elimu ya ujasiriamali, vitabu na CD za Eric Shigongo na James Mwang'amba katika Tamasha kubwa la Ujasiriamali linalofikia kikomo leo jijini Mwanza. Tamasha hilo lilianza juzi (Ijumaa) ambapo walimu wa ujasiriamali Shigongo na Mwang'amba wametoa mbinu kwa watu wa Mwanza jinsi ya kuwa wajasiariamali mahiri.

 Mbuge wa Jimbo la Shinyanga mjini na Naibu Wa Nishati na Madini,Mh Steven Masele akizungumza na sehemu ya wakazi wa mkoa wa Shinyanga waliofika kwenye semina ya Kamata ya Fursa Twendzetu kwa vijana,iliofanyika  kwenye ukumbi wa Shinyanga Vijana Center.Mh Steven amewataka vijana wa Shinyanga kuwa na moyo wa kujituma na kuzifanyia kazi ipasavyo fursa wanazokumbana nazo bila kukata tamaa,ameeleza kuwa hivu karibuni mkoa huo,unatarajia kufungua viwanda kadhaa,ambapo anaamini kuanzia fursa ya kupata ajira kwa vijana itaongezeka.

wa Shinyanga Vijana Center.  Meneja Mauzo na Masoko wa Kampuni ya Maxmalipo,Bernard Munubi akizungumza kwenye semina ya Kamata Fursa Twendzetu kwa vijana,kuhusiana na masuala mbalimbali yanayofanywa na kampuni yake katika kusaidia huduma za jamii,ndani ya ukumbi

 sehemu ya wakazi wa mkoa wa Shinyanga waliofika kwenye semina ya Kamata ya Fursa Twendzetu kwa vijana,iliofanyika kwenye ukumbi wa Shinyanga Vijana Center. 
 Mkurugezi  wa Vipindi na Uzalishaji Kutoka Clouds Media Groug,Ruge Mutahaba akizungumza sehemu ya wakazi wa mkoa wa Shinyanga waliofika kwenye semina ya Kamata ya Fursa Twendzetu kwa vijana,iliofanyika kwenye ukumbi wa Shinyanga Vijana Center.Ruge pia amefunga semina hiyo ya fursa kwa vijana mapema loe mchana,ambayo imekuwa ikiandaliwa na kampuni ya Clouds Media,Semina hiyo imefanyika  ndani ya mikoa takribani zadi ya kumi  ikiwemo   Kigoma,Singida,Tabora,Mtwara,Morogoro,Dodoma,Mbeya,Iringa,Bukoba na sasa ndani ya mkoa wa Shinyanga.

 sehemu ya wakazi wa mkoa wa Shinyanga waliofika kwenye semina ya Kamata ya Fursa Twendzetu kwa vijana,iliofanyika kwenye ukumbi wa Shinyanga Vijana Center.  
 Wengine tena ndio hivyo teena,fursaaa fursaaaaa. 
 Sehemu ya meza kuu ikifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikijadiliwa ukumbini humo.
 Wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri ukumbini.
 Mtangazaji wa Clouds FM,Shaffih Dauda akitoa mada ya fursa ndani ya michezo na changamoto zake,lakini pia namna ya kukabiliana nazo kiasi hata kupata mafanikio kwa namna moja ama nyingine,
Mwakalilishi kutoka TPSF,Jane Gonsalves akizungumza kwenye semina ya Kamata Fursa Twendzetu kwa vijana,kuhusiana na masuala mbalimbali ya ujasiliamali kwa vijana ikiwa ni sehemu pia kujiongezea kipato,semina hiyo imefanyika mapema leo ndani ya ukumbi wa Shinyanga Vijana Center. Kwa Picha zaidi

Je unahitaji huduma ya Mafunzo ya Masoko Kwa Wafanyabiashara Wadogo ?

  1. Majadiliano: Mwezeshaji na wawezeshwaji

a.   Wanauza wapi, nini, lini?

b.   Mafanikio

c.   Changamoto

d.   Maoni

  1. Dhana ya masoko

    1. Leads (Umma unaowategemea na wanatazamia kununua bidhaa yako au huduma, idadi, uwezo, aina yao, mambo wanayoyapenda)

    2. Wateja walengwa

    3. Kuuza(selling)

    4. Kuongeza dhamani ya mauzo

    5. Huduma nzuri kwa wateja ili warudi

  2. Taarifa za wateja (customer’s database)

Jina, simu, barua pepe, tovuti, shughuli yake

  1. Hatua za kufuata katika kutekeleza utafutaji wa masoko

    1. Kuinisha wateja wako

    2. Kuanisha mahitaji yao

    3. Kuainisha uwezo wao wa kiuchumi

    4. Kujua idadi ya walengwa

    5. Kujua wanapatikanaje/wanafikiwaje

    6. Kuainisha uwezo wako wa kuhudumia soko

    7. Jifunge mkanda

  2. Kalenda-Mpango wa kufanya masoko

Tarehe – Shughuli, Kusudi – Mahitaji – Bajeti Mhusika-

  1. Njia kuu za kuwafikia walengwa

    1. Radio

    2. TV

    3. Magazeti

    4. Mikutano/kongamano/warsha/semina

    5. Tovuti (website)

    6. Gari la matangazo

    7. Mabango

    8. Vipeperushi/vitabu/majarida/Makala/Kadi nk

    9. Kutembelea ofisini/nyumbani

  2. Utekelezaji

    1. Weka ratiba ya kufanya kimkakati

i. Mfano: utaanza wapi na utaishia wapi?

ii. Utaanza na njia gani?

                   

Viazi

Viazi Viazi
sehemu ya chini ya ardhi ya viazi badala ngumu. Aidha, lina ya mizizi ya chini ya ardhi pobegovstolonovi mizizi ya kawaida. Stolon pita kutoka tuber zamani ambayo ilikua hii msituni, na upande wake "Veps" Finer stolonahso muda, mizizi mpya.
Ni kwa ajili ya mizizi aina ya viazi tofauti zaidi: wao kuwa na idadi tofauti ya macho, rangi tofauti na vivuli, kama katika ngozi na kwa mwili, na, bila shaka, ladha.  idadi na urefu wa mizizi ya viazi ni hutegemea sana hali ya nje na mazingira tofauti. Wengi wa mizizi kwa kina cha cm 20-25, lakini katika udongo badala huru wao ni "makazi" na laterally na kwa kina, na viazi mbegu katika shina kuu, na wote wanaweza kufikia urefu wa futi tano.
Kwa hiyo ili kupata mazao ya ardhi kwa ajili ya viazi iwezekanavyo lazima kusindika kwa kina cha urefu wa 70 (bustani mara nyingi kuchimba tu na cm 30), kwa sababu maendeleo zaidi katika sehemu ya chini ya ardhi ya msituni, inaonekana zaidi juu ya tuber.  Joto yanatokana na viazi nyasi, nene, Succulent, wakati mwingine matawi  Katika moja ya kawaida yao neskolkorovno kijiti kama vile ilikuwa katika macho tuber (kwa kawaida juu ya 8).
Wengi ni ya kijani, lakini katika baadhi ya mimea ni rangi ya nyekundu au zambarau, majani ni kiwanja (linaloundwa na vipeperushi kadhaa ndogo), kijani, pubescent, uso yao kama kugawanywa katika makundi madogo. Wao si mno tofauti katika aina mbalimbali, lakini akili ya kawaida na eneo ni rahisi kuamua kama anahisi kichaka nzuri na grabbed mbolea kupanda, hasa nitrojeni, na maji.
Kama majani ni ndogo mno, pia rangi ya shina au njano, ina maana kwamba mmea au ilionyesha nyuma, au ana kitu missing. Kama majani, kwa upande wake, pia ni pamoja na utajiri wake mzima, inaweza zinaonyesha kuwa kichaka "zhiruet" kutoka nitrojeni ziada. Katika kesi hii ni sumu mizizi ni wachache sana na wao wenyewe kuwa ndogo kuliko wale inayoundwa na misitu neperekormlennyh, hivyo "fattening" ziepukwe.
Katika kesi hiyo, na shina na majani ya viazi sumu  . Infusion ya hata inaweza kutumika kwa ajili ya kunyunyizia mimea mingine kutoka wadudu. Cultivar viazi Maua sawa na viazi nyota tano alisema, wanaweza kuwa na nyeupe, nyekundu, bluu, zambarau au violet katika vivuli tofauti (na hii ni ishara ya aina), lakini kwa sababu kawaida viazi bustani zote ni mizizi ya kupandwa kwa kina muundo wa maua si lazima.
Katika baadhi ya aina za maua wakati wote na ni dhaifu sana, na matunda wenyewe si amefungwa, ingawa kartofelrastenie binafsi pollinating. Kama mbolea gani kuchukua nafasi yake, zavyazhutsya matunda yanafanana vidogo nyanya. Kama mabua na majani, ni sumu, si huko.
Viazi mzaliwa kabisa ya joto (lakini si moto) edges, lakini kwa muda mrefu ni mzima, ni vizuri ilichukuliwa na si tu hali ya hewa ya wastani (wa Marekani na alifanya hivyo bila ya msaada wa kibinadamu, kutokana na sehemu ya mbele ya mizizi), lakini na ukali zaidi severnomunekotorye aina yake, hata katika tundra kukua. Katika sehemu hii muinuko wa kupanda hufanya baridi mbaya (na kwa hiyo katika mikoa ya kaskazini ya Urusi ni kawaida derived mapema-madeni aina kwamba walikuwa na mavuno katika majira ya joto short kaskazini), ambapo mizizi, kwa kulinganisha, mateso zaidi na joto (na kwa hiyo katika kusini kukua aina sugu kwa joto ya juu). Kukua kwa kasi zaidi viazi wakati joto `C udongo 18, katika kesi hii, miche kuonekana ndani ya siku 14 baada ya kupanda, na wakati mwingine kwa siku chache kabla. Kulingana na vifaa sad6sotok.ru



Kwa sasa ni jina maarufu sana hapa Tanzania, mtu yeyote aliyefanikiwa katika biashara hupewa jina hili. Maana ya ujasirimali inabaki katika uwezo wa kufanya maamuzi sahihi wa kutumia rasilimali chache zinazokuzunguka vizuri ili uweze kupata faida.
Mathalani rasilimali zinazokuzunguka ni ardhi, watu na maji, ni vipi mchanganyiko huu utautumia vizuri ili uweze kupata zao (output) ambayo itakusaidia kujikwamua katika hali uliyonayo. Ama ni vipi utatumia mtaji mdogo ulionao kufanya biashara itakayokuletea faida ambayo utaitumia kuongeza mtaji na kuikuza biashara yako.
Fahamu kwamba lengo lolote la mjasiriamali ni kupata faida na kumridhisha mteja ambaye anatumia bidhaa ama huduma inayotolewa na mjasiriamali. Bidhaa ama huduma ndio msingi wa mjasirimali yeyote ambaye anataka kupata faida. Mathalani mkulima wa mahindi bidhaa yake ni mahindi hivyo atauza mahindi kujipatia faida, na mtabibu wa mifugo anatoa huduma ya matibabu kwa mifugo na kulipwa ujira kwa kutoa huduma hiyo.
 

In the recent years many bloggers have been going out of their themes, instead they keep posting pornographic pictures or pons videos on their pages, especially on the Facebook. Facebook is the best interface and user-friendly ever happen before, which makes many people, companies and institutions to join the Facebook.



For any reasons you have decided to own a blog or website, at last you need to get money in return and not otherwise.

DISADVANTAGES OF POSTING PORNOGRAPHIC PICTURES OR PONS VIDEO ON YOUR BLOG OR WEBSITE?

1. You are identifying yourself as unprofessional, and eventually many people will hesitate to do any kind of business with you. Many professional needs to find some elements of professionalism on your blog or website before they can take a step to do business with you.

2. They automatically harm many individuals and families because through your pons pictures or pons video:

• You are automatically increasing the number of rape and prostitution cases in a society.

• You are increasing the number of children sexual abuse in the society.

• You are potentially destroying the entire civilization of the society.

• Pons ruins culture and relationships, increases sexual dysfunction, and changes what men expect from women.

• Pornography also violates Public Morality since universally the people of the various countries have legislated against it as an evil.

• Pornography is harm to Marriage, it destruct healthy love and sexual relationships to long-term bonded partners.

• Pons has been regarded as sinful and thus harmful to the soul and our eternal salvation as believed with many religions.

• Pons increase the degradation, domination, subordination or humiliation of women in the society.

• Pons when falls into the hands of children is very harmful to the children themselves and to notions of family control over a child's introduction to sexuality. As a blogger you are teaching children that sex is public, they should engage themselves in sexual activities and you are completely sexual ly abusing of children.

WHAT IS YOUR RESPONSIBILITY AS A BLOG OR WEBSITE OWNER ON THIS MATTER?

Don’t post any pornographic pictures or pornographic video on your pages. Keep focused on your theme. The good examples of professional blog or website are like:

Michuzi blog: http://issamichuzi.blogspot.com/
Manyanda Haealthy: http://manyandahealthy.blogspot.com/
Amka Tanzania: http://networkedblogs.com/Nvx6s
Zoom Tanzania website: http://www.zoomtanzania.com/
And many other websites or blogs of this kind, you will never see any kind of unprofessional post on their pages.


Followers